WATU TUMETOKA MBALI JAMANIHii Album YA 5 imekuwa wimbo miaka 3 sasa mpaka nimechoka kusema
Ila katika safari ya kuelekea kuikamilisha itakuwa 2 in 1

Itakuwa YA 5 na THE BEST OF LADY JAYDEE

Nitaomba maoni yenu ni nyimbo zipi zilizopita mnadhani zingefaa kuwemo kwenye hiyo Compilation ya The Best Of...........
Kuanzia Album ya MACHOZI, BINTI, MOTO, SHUKRANI na zingine zinazo hang hewani hazina Album.

Mchango wenu wa mawazo ni muhimu katika kufanikisha hili

Natanguliza shukrani na kuwaahidi kila siku nitakuwa natupia video mojawapo ya zamani kuwakumbushia nilipoianza hii safari katika hili game linaloitwa BONGOFLAVA

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive