Diet "DAY 11"

Asubuhi ya siku hii ni kukimbia dakika 45 na situps za kutosha

Breakfast ni Chai au kahawa ya maziwa


Mayai mawili ya kukaanga

Juice ya karot glass 1

Glass 4 za maji moto

Lunch:

Maji moto glass 4

BBQ Chicken robo na Salady jitahidi ukiwa unakula kuku uwe unatoa ngozi ya juu

Matunda tupia piaDinner:

Kabla ya chakula cha jioni kimbia tena dk.45 fanya sit ups nyingi nyingi

Kunywa maji moto glass 4Kula matunda na Chicken Soup

Siku imeshaNo comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive