SIKU YA 4 "Diet"

Siku ya 4 unaionaje?

Endelea kupiga mwendo wa dakika 3o ukiamka tu, rudi zako home piga sit-ups 20-30

Kunywa maji ya moto/ uvugu vugu yaliokamuliwa ndimu/limao Glass 4

Achana na swala la kupiga mswaki kwanza

Piga Chai kikombe kimoja chenye kijiko kimoja tu cha sukariBaada ya chai unaruhusiwa kupiga mswaki sasaIngia bafuni, oga

Kisha ondoka zako uende kazini.

Unaweza kuchukua tunda moja wakati unaondoka ukawa unakula njiani

Lunch:

Kiazi kimoja tu cha kuchemsha pamoja na mboga mboga kama Njegere, Karot n.k

weka chumvi tu ndugu yanguKatika lunch hiyo hiyo, sukumia na Mushroom Soup

Jitahidi supu zako usiweke mafuta

Usisahau Maji 4 glasses, za maji moto au vuguvuguDinner:

Vegetable Platter, mboga za aina yoyote unayopenda wewe bila kuweka futahata tone

Ukiona imeshindikana, basi angalau kijiko kimoja tu cha mafuta "Alizeti: au Olive Oil

Na Samaki wa kuchoma, wa kuchoma rafiki "Sio wa Kukaanga"

Kula mzima, unywe na maji moto/ uvuguvugu glass 4Unaruhusiwa kulala ungojee siku ya 5

Jitahidi asiwe samaki anaezidi robo kiloNo comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive