FAMILIA YAFANYA PARTY YA KUMPONGEZA ESTER ULAYA BAADA YA NDOA

Bado ananukia kiharusi harusi

Huyu ni Maggie kwa wasio mfahamu ni Family member

Wa kulia ni mangi Bi SAB

Katika familia kila member nae huwa ana marafiki zake, kuna wenye ma boyfriend waume na ma kaka, wajomba, watoto ma cousins nao tunawajumuisha humo humo siku za shughuli

Wanandoa wapya siku ya party ya kupongezwa baada ya shughuli nzito

Katika ile list nilimsahau GK, wa kwanza kushoto. Kwakuwa pia huwa anakaa nyuma sana hata ya picha jameni ila na yeye yumo katika Family baada ya hizi picha nimemuona nikakumbuka

Shughuli yoyote huenda na mlo na kinywaji, ilifanyika Nyumbani Lounge


Tumechagua na tumeamua kuishi kwa amani na upendo, kama kuna tofauti zinatokea tunakaa chini tunazungumza tunarekebisha.
Hakunaga bif nyumba hii
Tunategeme itakuwa hivyo pia kwa wapya watakaojiunga na familia hii

Pia tunashirikiana kwenye mambo ya msingi ikiwemo kupeana mawazo sio hela, hela tu kila siku

Asanteni kwa kuniwakilisha, nafurahi pia kuskia kila kitu kilienda sawa

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive