VIDA MAHIMBO NEW LINE


Mbunifu maarufu wa mavazi kitaifa na kimataifa Vida Mahimbo amezindua rasmi nguo za VIDA MAHIMBO NEW LINE FOR "CURVY WOMEN" anazoziuza katika duka la nguo la Fuchsia Boutique lililopo katika hoteli ya Golden Tulip ya jijini Dar es Salaam pamoja na duka lake la Slipway Shopping Centre-VIDA MAHIMBO STORE.Baadhi ya wateja wakiangalia ubunifu kutoka TanzaniaPita ukacheki, mimi ninazo za kwangu 2 kama hizo alizoshika mkononi, nina nyeupe na ya blue
Very nice

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive