JUMAPILI NYUMBANI............





IT PAYS TO BE A TANZANIAN

"A man died & goes to hell. There he finds that there is a different hell for each country and decides he'll pick the least painful to spend his eternity.

He goes to the German hell & asks, "What do they do here?" He is told "first they put you in an electric chair for an hour.
Then they lay you on a bed of nails for another hour. Then the German devil comes in and whips you for the rest of the day".

The man does not like the sound of that at all so he moves on.
He checks out the USA hell as well as the Russian hell and many more. He discovers that they are all similar to the German hell.

Then he comes to the Tanzanian hell and finds that there is a long queue of people waiting to get in...Amazed, he asks, "What do they do here?"

He is told "first they put you in an electric chair for an hour, then they lay you on a bed of nails for another hour.
The Tanzanian devil comes in & whips you for the rest of the day."

But that is exactly the same as all the other hells, why are there so many people waiting to get in?" asks the man.
A concerned fellow calls him aside and said,
"Because there is never any electricity so the
electric chair doesn't work.

The nails were paid for but were never supplied by the contractor, so the bed is comfortable to sleep on.
And the Tanzanian devil used to be a civil servant,
so he comes in, signs his time sheet and goes back home for other business!!".

Imetumwa na Evans Matee

Columbo played by Peter Falk

Peter Michael Falk was born in 1927 in New York, New York.  He was most famous for portraying TV detective Columbo who always wearing a trench coat with cigar in hand and driving a beat up old Peugeot.  Falk's characters he played had a distinctive squinty eyed appearance. The reason was not intentional, Falk had a glass eye since he was 3 years old.




Peter Falk played the trench coat wearing

ALHAMISI TAR 23 JUNE, MBALI NA HIYO IJUMAA TARR 24 PIA WATU WALIFANYA KAZI MZALENDO BILA KUWEPO NA PICHA ILA MAHESABU YANAENDELEA










Pia ilikuwa ni B'day ya Mwanangema



Stumbled Upon an Old Friend's Creativity

I know a lot of tremendously talented people. And I keep waiting for one of them to actually achieve success.

And, so, it was with great encouragement that I stumbled upon the 7 Layer Studio blog the other day.

I used to go to school with Shelley WAAAAAAY back in our younger days. And I am so excited to see the creative ideas and inspiration showcased at her site. (this photo reveals just one of the MANY projects you'll find from Shelley there)

While it's not a topic I am really that interested in, I thought you might find some great ideas. There's plenty to see and enjoy.

Shelley, it's great to see you doing so well! I hope you keep right on going!
All the best,
Al

NENO LA SIKU

Tangu niko tumboni kwa mama yangu uliona na kujua mahangaiko yangu na ulijua unataka mimi niwe nani. ndio maana mimi nimekuwa mimi

Tangu nazaliwa kilio changu cha kwanza wewe ndio uliamua ziwe nyimbo zangu
Mpaka leo naimba, na nyimbo za kilio ndio furaha yangu, faraja yangu
Kwa sababu ulitaka mimi niwe kama mimi

Wapo watu walionewa, hawana kipato lakini wana moyo wa ushindi kila siku, wanaimba huzuni lakini muziki wa huzuni ndiyo furaha yao...Wanajidai na kujivunia vile vile walivyo. Watu hawa hawana kitu lakini hawana shida. They are who they are, na mmoja wao akaimba kuipokea hali yao.

I am who i am,GOD wants me to be who i am...Shangwe yao hawa watu ikoje???



JIDE Feat MTUKUDZI - Mimi ni Mimi, WIMBO UMEREKODIWA USIKU WA JUMATATU, Ukiwa tayari tutawarushia muusikilize

Makandiziva Ndichi Mudumbu
Mukandidzidzisa Machemero
Ndikaziva Machemero
And thats who i am

Ilinilazimu kuimba Kishona pia
Ilimlazimu Tuku kuimba Kiswahili pia


Niliwahi pia kushika Guitar la Mtukudzi:)





Kaeni tayari kwa kitu kizuri

Picha zetu za siku ya leo ni hizi

Unaweza kuhisi hii ni miguu ya nani?
Na hii je?
Hizi ni Picha za miguu ya watu maarufu hapa Tanzania ambao katika mazingira yao ya kawaida wanajikuta wamevaa viatu ambavyo si vyao wanapokuwa wameingia mahali na kuona uvivu kuvaa viatu vyao walivyoenda navyo hiyo sehemu. Unaweza kutambua ni miguu ya nani na nani?

OLIVER MTUKUZI ALIVYOTUMBUIZA NYUMBANI LOUNGE JUMAPILI KWA UDHAMINI WA NMB-Pesa Fasta

Neria Neria ooooooooooh



Members wa Black Spirit inayoongozwa na Oliver Mtukudzi kutoka ZIMBABWE




Ndoto ya kusimama na kuimba jukwaa moja na Mtukudzi ilikamilika





Madame Ritha



Machozi Band
Tunatoa shukrani kwa Wadau mbali mbali waliotoa support kuwezesha show kufanyika
Na shukrani kubwa kwa NMB -Pesa Fasta kwa ufadhili katika jambo hili kubwa na zuri
Shukrani kwa Paradise City Hotel
Shukrani kwa watanzania wote waliojitokeza kuhudhuria

JayGONGA WHITE PARTY 17th 2011 at Trinity ilivyokuwa


















Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive