





Mzee Peter alilishwa keki kwa niaba ya wadau wengine wote wa Nyumbani Lounge, ni BIG SUPPORTER wa Machozi Band "Mlezi wa wana"
Bob Junior wa Sharo Baro records ndio alietengeneza wimbo mpya "WANGU" na ndie anaetesa kwa kipindi hiki kwa kutengeneza hits za wasanii mbalimbali nchini TanzaniaCha kwetu tukikumbatie vya wengine tuwaachie wenyewe



Picha zote hizi zimechukuliwa katika blogs za Issa Michuzi na Mo Dewji blogShukrani za dhati ziwaendee wale waliohudhuria na kuifanya siku ifane
Shukrani pia kwa wote walioshiriki kuhudumia:
Nguo ya Birthday Gal ni Zawadi toka kwa Jackie Ngongoseke aliitoa siku ya hafla za miaka kumi ya Lady JayDee
Hereni ni zawadi toka kwa swahiba wa siku nyingi Khadija Mwanamboka Mpiganaji
Viatu ni zawadi toka kwa Shy-rose Bhanjia Mwanaharakati
Nywele zilitengenezwa na Marcell
Keki toka kwa Faraji na Esta Ulaya
Shukrani kwa Captain G Habash kusimamia show yote











No comments:
Post a Comment