BINTI ALBINO ALIETAKA KUUWAWA ANAHITAJI MSAADA


Binti huyu anahitaji msaada wa hali na mali. Anaitwa KABULA Ana miaka 14 tu. Ni albino wa ngozi aliyenusurika kuuwawa na majambazi waliotaka kumuua kwa imani za kishirikina, na kuishia kumkata mkono wake kikatili.( YAANI NI MLEMAVU WA NGOZI, HALAFU JAMAA WAMEMUONGEZEA ULEMAVU WA MKONO ). Kwa sasa anatunzwa katika shule ya msingi BUHANGIJA iliyopo mkoani Shinyanga. Shule hii ni maalumu kwa kutunza wanafunzi wenye ulemavu..Mtoto huyu anahitaji msaada wako wa hali na mali. aanahitaji pesa kwa ajili ya kununua mkono wa bandia na pesa za kujikimu..Kwa walio guswa na mttoto huyu tafadhali sana wawasiliane na Mkuu wa Shule Anayosoma mtoto huyo: Jina lake anaitwa
PETER AJALI : NAMBA ZAKE NI 0714852800 au 757611930

Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembelea: http://www.maishamematanzania.blogspot.com// ASANTE SANA.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive