FESTIVAL
Hallo Sister Jide,
Tafadhali sana tunakuomba uwapashe habari wadau wengine kuhusu mwaliko huu wa Africa Festival hapa Nürnberg, Germany. Festival itaanza tarehe 09- 12.06.2011.
Sisi Talent Search and Empowerment(TSE) ni Ngo ambayo ipo Dar es salaam pale Ubungo Kibangu. Tunatoa huduma hizi kwa vijana kuanzia miaka 6- 20, haswa wale wanaoishi katika mazingira magumu. TSE tuna-Projects tofauti kama timu ya mpira wa miguu, ushonaji kwa wasichana, muziki- maigizo na kozi za computer.
Hivyo katika Festival hii tutawaeleza watu kuhusu kazi zetu na vilevile tutaiwakilisha Tanzania kwa kuwapa watu Information tofauti kuhusu Tanzania.

Tunafikiri utatufikishia ujumbe wetu
Mungu akubariki

Erick Mome
Nürnberg- Germany.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive