MTUKUDZI YUPO DAR TAYARI KWA SHOW YA USIKU NYUMBANI LOUNGE

Oliver Mtukudzi toka Zimbabwe ameambatana na mkewe pamoja na Band yake ya Black Spirit tayari kukonga nyoyo usiku wa leo.
Viingilio ni 50,000/= kwa 30,000/=

Amefikia Hotel ya Paradise City, Mjini

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive