SHAM THABEET ALIZALIWAGA TAR 18 JUNE, Alisherehekea Sikukuu yake Nyumbani Lounge na Family na Friends

Sham akiwa amekula pozi pembeni ya Keki yenye umbo la kiatu


Mtoto kwa mama hakui anakumbukia enzi zake za kupakatwa


Mama wa kwanza kulishwa keki

Akifuatiwa na Akbar

Shughuli ilisindikizwa na msosi heavy ulioandaliwa na Chef Maulo

Halafu dada mkubwaKwa wingi wa Camera zilizokuwepo sina shaka SHAM alipata picha Album mia moja
Baada ya hapo ilikuwa ni kufunguka na muziki mpaka Asubuhi, tukaiita siku. Ikapita
La Familia

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive