NAFASI ZA KAZI


MaishaMema Education & Training Centre ni kituo cha Elimu, Mafunzo, Utafiti na Ukuzaji Maarifa. Kituo kupitia mradi wa SEXUALITY EDUCATION & AWARENESS PROJECT ( SEA Project ) kituo kinatangaza nafasi za kazi ya usambazaji CDs, VITABU, na MAJARIDA yanayo anadaliwa na kituo.

CDs, vitabu na majarida vinatakiwa kusambazwa kwenye NGOS, CBOS, FBOs,CSOs, Secondary Schools, Colleges & Universities, National Libraries & Bookshops, katika wilaya zote za Tanzania Bara.


SIFA ZA MWOMBAJI NAFASI
.

1. Umri miaka 18 hadi 45.

2.Elimu kidato cha nne, sita na kuendelea.
3. Akiwa na uzoefu na kazi ya usambazaji itakuwa ni sifa ya ziada.
4. Nidhamu na awe na uwezo wa kufanya kazi kwa kujituma bila kusimamiwa na mtu.

Tuma barua yako ya maombi kwenda kwa:

Managig Director,
MAISHAMEMA EDUCATION & TRAINING CENTRE.
P.O.Box 35967,
DAR ES SALAAM.

Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe
20/06/2011..


Kwa waliopo DAR ES SALAAM, leteni barua zenu za maombi ofisini kwetu. Ofisi zetu zipo katika shule ya Sekondari PERFECT VISION, iliyopo nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.. Mwisho wa kupokea barua za maombi kwa waombaji wa DAR ES SALAAM ni tarehe
17/06/2011..

KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
: 0652458398 AU 0788363058 AU TEMBELEA TOVUTI YETU : http://www.maishamematanzania.blogspot.


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive