MAISHA UPANDE WA KWANZA WA SARAFU.....

Sio chumba wala kitanda changu, ila hapo ndio ninapojiegesha kwa sasa.

Kutoka kwenye chumba chekundu mpaka chumba Cheupe

Humu ndani, Ukuta, mashuka, mapazia, Toilet, Bafu vyote vyeupeElewa maana ya neno "NI" tofautisha na "TU"

Usije ukachanganya rafiki yanguBaada ya muda inaweza kuwa "TU"

Nikikaa kimya mnalalamika, haya mambo hayo sasa

Picha zingine nyingi zajaNo comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive