Diet "Day 15" Nimeonelea swala la Baiskeli litakuwa gumu kidogo kwahiyo tuliache kwanzaAsubuhi ya siku ya 15 unatakiwa utembee au kukimbia kwa polepole kwa wastani wa saa nzima

Ukirudi unafanya sit-ups 50 -60

Unakunywa maji moto glass 4

Unakunywa kikimbe kimoja cha chai au kahawa chenye 1 kijko cha sukariToasted brown Brean 1 Slice

1 Boiled egg

1 Glass of Orange Juice

Katika maongezi ya kusubiria lunch badala ya kunywa bia unatakiwa unywe maji moto glass4

Lunch: inakuwa ni mishkaki 3 ya beef au kuku

Wali kipimo cha kikombe kimoja na sio zaidi

Na Mboga mboga za majaniJioni pia utatakiwa utembee au ukimbie kwa polepole muda wa saa nzima

Baada ya hapo unafuatia na sit-ups 50 -60

Maji moto glass 4Dinner ni nusu samaki wa kuchemsha

Njegere na glass moja ya Carrot juice

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive