KUMBU KUMBU.Mpendwa wetu tarehe COSTER MOWO 19/8/2011 unatimiza mwaka mmoja toka ulipo tuacha ghafla na kuiacha familia yako kwenye giza nene,

hakika machoni tunaonekana tukichoka mioyo yetu daima bado inasononeka. Tunakukosa sana japo tunaelewa wakati wote

wewe ni sehemu ya maisha yetu na upo mioyoni mwetu. Tunaendelea kukuombea kwaundo mkubwa,unakumbukwa sana na mkeo mpenzi,

wazazi,watoto,ndugu,jamaa,marafiki zako na uongozi mzima wa flavanite. Roho yako ipumzike kwa amani daima.

Kutakuwa na misa ya kumbukumbu tarehe 19/8/2011
nyumbani kwao kiboroloni,moshi.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive