HII SIO BLOG YA MATUSI, HAPA NI AMANI UTULIVU NA KULA MUZIKI...HII NI BLOG YA WANAOMPENDA JIDE TU!!! KAMA HUZIMIKII MAMBO YAKE TAFADHALI KAA KANDO

Leo ndio siku ya mwisho kupiga picha za kutumia simu

Leo ndio ile siku nitapata mpiga picha ili na mimi niweze konekana sura

Baada ya leo ndio story rasmi inaanza

Baridi ikizidi sana pa kuotea moto ni hapa

Matusi, kejeli wala comments za maudhi ya makusudi dhidi ya wengine hazita postiwa

Bora u save energy ku fight na Chama tawala warudishe mafuta na umeme

Mimi ni mtanzania mwenzenu tu ambae najaribu kuwapa burudani wala sigombani na mtuSio kosa la jinai ku post kile ninachopenda, wala sijavunja sheria ya nchi kwa kufanya hivyoWapo wanaopenda ninachofanya na ndio haswa nafanya kwaajili ya hao. Okay!!!???Twende sasaNo comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive