ALIEGONGA GARI YA WATU NA KUKIMBIA ANATAFUTWA

Habari;

Usiku wa kuamkia Jumamosi ya tarehe 20/08/2011,kuna jamaa mwenye gari namba T913 AQX ,aligonga gari yangu katika junction ya Service Road ya Sam Nujoma na Barabara itokeayo Meeda Club.Baada ya mimi kushuka kwenye gari,jamaa akakimbia.Amenisababishia hasara.Sasa kupitia Globu hii,naomba pindi apatapo ujumbe huu,anitafute kupitia kwenye namba 0755575828 ili anilipe gharama nilizotumia kutengeneza gari yangu.Atambue kuwa huu mji ni mdogo kukimbia si suluhu.Ahsante;Mdau wa Blog.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive