KWA WALE WANAOPENDA KUJIANDAA MAPEMA

Unaona Ki Baiskeli huko nyuma??

Jiandae mapema kama unafatilia usije kuona kama umeshitukizwa.

Siku ya 15 tunaanza mazoezi ya kwenye Baiskeli, kama hujui ku ride Byke tutakupa njia nyingine itakayoweza kuendana na hiyo.Kama unajua na unapenda ila huna, unaweza kuweka budget zako vizuri tokea leo ukanunue Byke

Bonne Chance!!!No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive