DIET "Day 3"

Asubuhi routine ni ile ile ya mazoezi ila kwa siku ya 3 unaweza kuwa umezoea vizuri kiasi kwamba.

Utembee nusu saa ukiamka tu, Ukirudi nyumbani fanya sit-ups 20 -30

Kunywa glass 4 za maji moto/ uvuguvugu "maji unaweza kukamulia ndimu/limao.



Ila breakfast ya siku ya 3 ni: KIKOMBE KIMOJA TU CHA KAHAWA AU CHAI

Chenye kijiko kimoja cha sukari

Mchana kabla au hata baada ya lunch, usisahau tena glass 4 za maji moto "Kunywa ipasavyo"

Lunch ya leo inakuwa ndizi 2 za kuchemsha "Bukoba" sio sweet Banana

Na bakuli la Vegetable Sopu na matunda kwa wingi.



Jioni tembea tena nusu saa

Fanya sit-ups 20-30

Oga vizuri subiria chakula cha usiku huku ukinywa glass zako 4 za maji moto/ uvuguvugu, unaweza kuwa unakula na matunda pia





Dinner ya siku ya tatu ni BBQ Sausage 3 na Salady

Baada ya hapo you call it a day, jilalie kwa amani ungoje siku inayofuata iitwe kesho



No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive