Diet "Day 16" KWENYE SIKUKUU NAJUA MTA SKIP, Ila mkiisha maliza kupakia mahanjumati mnaweza kurudi kuendelea

Asubuhi ni kukimbia kwa mwendo pole muda wa saa nzima


Sit-ups 50 - 60

Glass 4 za maji moto yaliokamuliwa ndimu au limaoBreakfast: 1 glass of milk "LOW Fat"

1 Toasted brown bread

1 Boiled sausage

na Fruits za aina mbali mbali

Lunch: 1/4kilo ya nyama ya kuchemsha

Unaweza kuifanya kama mchemsho tu wa kiswahili, ukatupia na kabich, njegere, karot, hoho na vinginevyo vya kuongezea ladha, bila kuweka mafuta lakini

Kiazi kimoja kikubwa cha kuchemshaAu ukala mchemsho wa kuku "Chagua kimoja wapo

Na salad au mboga zozote za majani zilizopikwa kwa kuchemshwa bila mafuta

Usiache kunywa maji moto glass 4

Glass 1 ya Mango JuiceJioni unakimbia tena saa nzima, unafanya sit ups za kutosha

Maji moto glass 4Dinner: BBQ Chicken 1/4 Kuku, ndizi 1 ya kuchoma na SaladNo comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive