DIET "Day 8"



Asubuhi na mapema mazoezi, nadhani utakuwa tayari kuanza kukimbia polepole bila kutumia nguvu

Badala ya kutembea, kimbia kidogo dakika 45

Ukirudi ongeza sit-ups 50



Maji ya moto/vuguvugu glass 4

Kikombe kimoja cha Coffee/ Chai

Slice 1 ya toasted brown bread

Embe na maziwa glass 1





LUNCH: Huyu Red-Snapper kama unavyomuona anatakiwa apakwe chumvi tu na ndimu/limao

Halafu achemshwe, akiiva unamla yeye pamoja na Salady ya aina yyote ile

Usisahau maji moto glass 4 kwenye lunch



Jioni kimbia tena polepole kwa dakika 45

Sit ups 50

Maji moto glass 4



Usiku kunywa juice ya carot glass 1

Ndizi 1 ya kuchoma

Mshkaki 1 ng'ombe au kuku







No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive