JIDE WA 2001. "MACHOZI YA FURAHA" Katika Video zangu mbaya hii inaongoza, kuanzia script mpaka action....Sitamanigi kuiangalia tena hata mara mbili





Ila ka wimbo si ni ka tamu???

Labda kuna wengine hawajawahi kuiona hii Video

Yaani huyu ndio yule Jide wa mwanzoooooooooo



Nyie angalieni tu halafu mtaniambia

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive