Diet "DAY 13"

Itakuwa ni week end si ndio Unaweza ukafanya sit -ups nyingi tu ukiamka kama utashindwa kuwahi kutembea Kikombe kimoja cha Chai au kahawa chenya kijiko kimoja cha sukari Ndizi mbivu 1 Maji moto glass 4Lunch ni Chapati moja na Supu ya Kuku wa Kienyeji hakikisha umetoa ngozi kwenye kuku

Maji moto glass 4 pia na embe 1Jioni unaweza ku skip kutembea na sit ups pia kwakuwa kusema kweli week end ni ngumu wenzio wamekaa mahala wewe unyanyuke uende kuanza mazoezi

Hapa unaweza ukategea lakini usizoee sanaMaji moto kabla hujaanza chochote jioni Glass 4

Katika mazingira yoyote utakayokuwa kula mishkaki 3 tu ya samaki na Salady

Glass za wine zisizozidi 2 kwa usiku mmmoja

Good nightNo comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive