Hii Album YA 5 imekuwa wimbo miaka 3 sasa mpaka nimechoka kusema
Ila katika safari ya kuelekea kuikamilisha itakuwa 2 in 1
Itakuwa YA 5 na THE BEST OF LADY JAYDEE
Nitaomba maoni yenu ni nyimbo zipi zilizopita mnadhani zingefaa kuwemo kwenye hiyo Compilation ya The Best Of...........
Kuanzia Album ya MACHOZI, BINTI, MOTO, SHUKRANI na zingine zinazo hang hewani hazina Album.
Mchango wenu wa mawazo ni muhimu katika kufanikisha hili
Natanguliza shukrani na kuwaahidi kila siku nitakuwa natupia video mojawapo ya zamani kuwakumbushia nilipoianza hii safari katika hili game linaloitwa BONGOFLAVA

No comments:
Post a Comment