DIET "Day 6"

Mazoezi ya kutembea kama kawaida, sit-ups kama kawaida. Breakfast ya siku ya sita ni Cornflakes na maziwa ambayo ni Skim au Low Fat
Mchana Lunch yako ni potion ndogo tu ya boiled beefcubes kiasi cha robo kilo.

Unaweka na vipendezeshea na viongezea ladha kama karot, hoho au njegere na kijiko kimoja cha mafuta ya alizeti au Olive oil.



Usiku kula boiled noodles na sauce yoyote utakayopenda ila isiwe na mafuta zaidi ya kijiko kimoja.

Kisha lala



Siku ya 7 ndio kuna mambo ya wine kidogo



Katika milo yako yote kuanzia asubuhi mpaka jioni uwe umekunywa maji wa moto/ uvuvguvugu jumla ya glass 12 na uwe umetembea jumla ya saa 1 zima

na kufanya sit-ups 40 -60 kwa siku



Usisahau kula matunda kwa wingi na mboga mboga





No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive