MISA YA KUMSINDIKIZA MAREHEMU KIDEE BENDERA ILIOFANYIKA KATIKA KANISA LA CALVARY LUTHERAN SILVER SPRING MARYLAND, MAREKANI

Mh.Balozi wa Tanzania Bi Mwanaidi Majar pia alihudhuria



Watanzania wakiwa katika mstari wa kumuaga mwili wa marehemu kwa mara ya mwisho



Baadhi ya Watanzania wanaoishi DMV walitikia wito wa kumshindikiza ndugiyao mpendwa Marehemu Kidee Bendera jana jumamosi.





Mh Oska akitoa mkono wa kuaaga!


Swahilivilla: Siku zote sitoacha kusema hili Watanzania Jamii iliyostaarabika ni yenye kuheshimu Mawazo pamoja na mitazamo ya wengine, mchango wako katika kazi yoyote ulenge kujenga jamii yenye kujitambua, kujithamini na kujiwajibisha, pale panapo mahitaji kuhusu jamii yetu kwajumla.


Hii nikuonyesha Amani, maelewana, upendo, na ustahi wajamii yetu hii tuipendayo katika kipindi hiki kigumu kilichotukabili. M/mungu atualie Imani, upendo na mshikamano katika jambo kama hili ambalo kila mmoja wetu liponjiani kumtokea. (Kila kilichoumbwa hakikosi kuonja mauti) Mungu ibariki Tanzania Mungu wabariki Watanzania walio kila pembe ya dunia hii Amin.


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive