UPANDE WA PILI WA SARAFU -MOGWA - BUKENE "NZEGA"

Ukiona tu moto umewashwa na kuku kashikwa hivi, ujue ni supu time

Raha ya sehemu kama hizi unaangali movie ya Jogoo, tangu anakimbizwa, anakamatwa, anachinjwa, ananyonyolewa na anapikwa live.



Sio wale wa kukaa kwenye freezer mpaka ladha inapotea



Hapo ni buchani, kilo moja ya nyama ni 2,000/- unapimiwa kwenye mizani hiyo pembeni, utumbo wanaanza kupima nusu shilingi 700/- ukitaka kuchomewa unanunua moto huo pembeni wanakuchomea kwa shilingi 200/-



Picha na: Ester Ulaya



No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive