Jinsi ya kupika viazi hivi vya Garlic
Hatua ya 1. Andaa kila kitu kwanza kuliko kuanza kukimbia kimbia wakati wa kupika
Unakata kata mbwembwe za aina tofauti katika vipande vidogo vidogo sana
Karot, Hoho za rangi rangi, Vitunguu maji na Vitunguu Thaumu vya kuponda vya kutosha
Hayo ndio mahitaji ya mwanzo

Hatua ya pili ni kuviosha viazi na kuvikata vipande vidogo vidogo kwa ukubwa wa kiazi kimoja kupita mdomoni kwa wakati mmoja
Weka maji kiasi kidogo kama kikombe kimoja na nusu, weka chumvi kisha chemsha mpaka viive wasnani bila kumomonyoka na kuanza kutoa unga unga
kisha vitoe jikoni umwage maji yoyote yaliobaki na kuviacha vikiwa vikavu
kisha vitoe jikoni umwage maji yoyote yaliobaki na kuviacha vikiwa vikavu
Ikianza kuyeyusha unaweka viazi pamoja na mboga mboga zote zilizokatwa, hakikisha Garlic inajitokeza zaidi maana ndio yenye kuleta ladha
Kisha unaweka maziwa ya maji vijiko 5 unaacha kidogo yachemkie mpaka yakauke, hii ni kwa viazi 3 vikubwa ambavyo huwa ni portion ya mtu mmoja
Ukipakua inaonekana hivi, ukila sasa ndio usiseme
Wengine hukamulia na ndimu au Limao kwa juu, kutokana na upendeleo wa ladha ya mtu mdomoni kwake
Vinapatikana pia Nyumbani Lounge
Wengine hukamulia na ndimu au Limao kwa juu, kutokana na upendeleo wa ladha ya mtu mdomoni kwake
Vinapatikana pia Nyumbani Lounge
No comments:
Post a Comment