Day 10 "DIET"

Asubuhi ni mwendo wa kukimbia dk. 45

Ukirudi sit-ups za kutosha na maji moto glass 4



Breakfast ni Chai au kahawa kikombe kimoja na kijiko kimoja tu cha sukari

Siku hii ya 9 unaruhusiwa kula Donalt 1 kuuubwaaa





Lunch ni kikombe kimoja cha mchele ndio upike wali, no more my dear

Roast ya nyama yoyote kasoro Pork, vipande vya nyama visizidi vitatu

Mboga za majani na matunda.



Kunywa maji moto glass 4 pia ni lazima

Usiku ni Chicken soup na fruits

Bila kusahau maji moto glass 4





No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive