ILIANDIKWA KUWA KILA MTU ATAMUACHA BABA YAKE NA MAMA YAKE NA ATAAMBATANA NA MKEWE NAO WATAKUWA MWILI MMOJA

Maharusi wakifuatilia nyimbo katika kitabu cha tenzi wakati wa ibada ya harusi iliyofanyika kwenye kanisa la Azania Front jijini Dar es Salaam.

Maharusi wakitoka nje ya kanisa baada ya ibada.




Faraja kota ndio alikuwa mpambe wa Bi. Harusi

Mr. & Mrs Tito Kileo wakipiga picha za kumbukumbu.



Bi Irene akiwa na wazazi

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive