MACHOZI BAND "NYUMBANI LOUNGE" SHOW NO.?????????

Hii ilikuwa Friday tar 5 August, ila jumapili Tar 7 August pia Chozi lililia

Kwa mwezi huu wa ramadhan ni mara 2 tu kwa wiki. Ijumaa na Jumapili









Chaz Baba alipita, nimetaarifiwa kuwa hivi karibuni atapiga show yake maalum pale Nyumbani















Sio lazima uwe mwanamuziki, wala sio lazima ujue kuimba ukijiskia kushika Mic unakaribishwa, ndio maana pakaitwa Nyumbani ati.

Ni pa kila mtu



Mnawaonaje Vijana wetu, moto eeeh??

Mvuto upo





No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive