Asubuhi na mapema mazoezi, nadhani utakuwa tayari kuanza kukimbia polepole bila kutumia nguvu
Badala ya kutembea, kimbia kidogo dakika 45
Ukirudi ongeza sit-ups 50
Maji ya moto/vuguvugu glass 4
Kikombe kimoja cha Coffee/ Chai
Slice 1 ya toasted brown bread
Embe na maziwa glass 1
LUNCH: Huyu Red-Snapper kama unavyomuona anatakiwa apakwe chumvi tu na ndimu/limao
Halafu achemshwe, akiiva unamla yeye pamoja na Salady ya aina yyote ile
Usisahau maji moto glass 4 kwenye lunch
Jioni kimbia tena polepole kwa dakika 45
Sit ups 50
Maji moto glass 4
No comments:
Post a Comment