JUMATANO 27 JULY PALIKUWAPO NA SHOW YA MACHOZI MAISHA CLUB.....ILA ZIFUATAZO NI PICHA ZA SHOW YA IJUMAA NYUMBANI LOUNGE,

Jumapili ya tar 31 July pia Machozi ilikuwapo Nyumbani Lounge

MUHIMU:
Kutokana na hali halisi ya ugumu wa maisha Machozi Band itaendelea kupiga kipindi chote cha mfungo wa Ramadhan pale Nyumbani Lounge
Haitasimama kama tulivyokuwa tukifanya miaka ya nyuma.

Tunawatakia waislamu wote mfungo mwema
Wanaopenda kufturu Nyumbani Lounge pia mnakaribishwa kila siku jioni



Ni shangwe tu, sasa tufanyeje??






Need we say more?
Tunawahudumu wazuri pia

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive