DIET "Day 5"





Leo kama siku ya 5 na imani kuna vitu utakuwa umeanza kuzoea kwa mbali


Hata lile swala la nyama za tumbo na mbavu, na nyama za kwenye supu ya miguu ziakuwa haziumi sana kama siku ya 2 na ya tatu.



Mwendo ni ule ule, ukiamka tu tembea tena ukiweza kuongeza iwe dk.45 badala ya dk.30

Utakuwa umejisaidia wewe na nafsi yako pia



Ukirudi piga sit-ups 20-30, Kisha kunywa maji moto/uvuguvugu glass 4

Kaweke wmili wako safi urudi kunywa breakfast





Leo kuna kaunafuu kidogo, Kikombe kimoja cha kahawa au chai yenye kijiko kimoja cha sukari

Mayai mawili fried na mkate slice moja uliopakwa siagi kidogo sana



Ukimaliza piga mswaki undelee na hamsini zako

Kula Tunda pia ukijiskia



Mchana ukifika kabla ya lunch unaweza ukanywa tena maji moto glass 4

Lunch ya siku ya 5 ni Chicken Soup tu, bakuli moja

Kuku asizidi robo na asiwe na ngozi

Aondolewe ngozi kabla au baada ya kuchemshwa ndio aliwe



Jioni tembea tena dk.30 -45, fanya sit-ups pia

Halafu oga pumzika, kunywa maji moto/ uvuguvugu glass 4



Dinner ya siku ya tano ni mboga mboga zozote zile (Veges)

Pamoja na matunda.

Subiria Day 6





No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive