DIET "Day 12"

Asubuhi:

Mazoezi ya kukimbia na sit ups


Maji moto glass 4
Glass 1 ya

Cocktail Juice kwa breakfast




Lunch:
Ndizi 2 za kuchoma na mishkaki 3 "beef, chicken au fish.

Pingili kubwa za kutosha
Maji moto glass 4

Salady na matunda



Jioni ni kukimbia na sit ups




Dinner: Vegetable pasta, potion ndogo sana Maji moto glass 4

Glass 1 tu ya white wine kama ukipenda









No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive