Asubuhi ya siku hii ni kukimbia dakika 45 na situps za kutosha
Breakfast ni Chai au kahawa ya maziwa
Mayai mawili ya kukaanga
Juice ya karot glass 1
Glass 4 za maji moto
Breakfast ni Chai au kahawa ya maziwa
Mayai mawili ya kukaanga
Juice ya karot glass 1
Glass 4 za maji moto
No comments:
Post a Comment