Hii wiki inaweza kuwa ni rahisi sana au inaweza kuwa ngumu kutegemea na utakavyoichukulia
Chagua mlo mmoja tu mzito kwa siku, muda mwingine jazia jazia tu
Sio lazima ule asubuhi mchana jioni
Maji na matunda ni vitu vinavoweza kuchukua nafasi kubwa katika tumbo lako na kufanya usisikie njaa na kutamani kula mara kwa mara.Kama unajua kuogelea unashauriwa kufanya hivyo dakika 20 -30 angalau mara moja kwa wikiUkitaka muscles zi function vizuri kunywa atleast maji litres 2 kwa siku kama unafanya mazoeziKama hufanyi mazoezi kutegemeana na afya yakounaweza kunywa 1.5litres kutegemeana
Jitahidi kuepuka maji baridi, kunywa maji kawaida au ya uvugu vugu.
Day 14 - 21
Hazitofautiani sana
Unatakiwa kuchagua simple breakfast ya mfano huu
Break fast Choice ya 1:2 Slices of toasted brown bread1 small banana1 boiled egg1 glass of orange juice1 Kiwi fruitofcourse unaweza kunywa na Coffee au Tea yenye kijiko kimoja tu cha sukari
Break fast Choice ya 2:Cornflakes na maziwa ambayo ni skimMatunda yaliokaushwa "Dried fruits"1 fried eggUnaweza kuongezea vitu kama yoghurt katika breakfast yako
Light Lunch:Inashauriwa kula chakula ambacho kuna matunda na mboga zenye rangi mbali mbali, inaaminika kila rangi ya chakula ina umuhimu wake katika mwili.Mbali na kuvutia kwa sura.
Katika kuchagua unaweza kula vitu light kama:Roasted beefBoiled ChickenGrilled fishna katika kila mlo unaweza kuambatanisha na Coocked vegetable, toasted bread kama slice 2 hivi zinatosha, rice 1 cup au boiled banana (bukoba)
Ni muhimu pia kula matunda kiasi
Unaweza kubadili kwa jinsi unavyopenda huku ukizingatia kuweka kiasi kidogo sana cha chakula kwenye sahani yako.
Ukiweza kuepuka red meat pia ni jambo la busara zaidi
Dinner:Salad inatakiwa kwa wingi sana kila usikuItengenezwe kwa kuweka vitu mbalimbali vyenye rangi tofautiKama nyanya, vitunguu, letuce, olives (black or green) hoho za rangi tofauti n.k
Kula vitu light kama:Chicken stir fry with noodlesSupu ya samaki/ KukuMishkakiBila kula wanga kama Ugali, Viazi (Chips) au Wali nyakati za usikuKatika kila mlo zingatia kunywa maji moto
Fanya mazoezi angalau mara 3 kwa wiki, likiwemo zoezi la kikubwa
Picha halisi za humo ndani kumefikia hali gani tukiumaliza mwezi wa pili. Mazoezi unayotakiwa kufanya katika mlolongo huu ni:Kuruka kamba dakika 20 -30 "mara 3 -4" kwa wikiSit ups 100 - 150Kutembea au kukimbia kama hutaweza kuruka kamba.Kuogelea angalau mara moja kwa wikiNa kushiriki katika tendo la ndoa mara 3-4 kwa wiki