SHUKRANI ZANGU MWEZI NOVEMBER


Mwezi November ni mwezi wangu wa kutoa shukrani
Kuanzia tar 1 - 30 nitakuwa navaa nguo nyeupe tu kama ishara ya kushukuru
Nashukuru kwa Nuru ilioniangazia na mema yote niliotendewa na Mungu na binadamu wenzangu wanaonizunguka pia.

Yoyote anaependa kuungana na mimi katika kushukuru anakaribishwa pia.
Sina kitu chochote zaidi cha ku post katika blog hii.
Bali picha zangu za nguo nyeupe kwa siku 30 kuanzia tar 1 November
Lakini kama kuna mtu yoyote ana kitu chake chochote angependa ni post nitafanya hivyo

Asanteni kwa kunipenda, kunivumilia na kunipa moyo
Hali yangu si nzuri sana na sina muda mwingi wa kushiriki vitu mbalimbali kama performances na hata kuifanya blog iwe active

Ila muda wowote nitakaopata tutagawana

Mungu ni mwema, Mungu ni mkuu na amenitendea makubwa
Narudisha shukrani zangu kwake mwezi wote wa November na siku zote za maisha yangu

With lots of LOVE and Respect to you All

Jide " No Longer -BintiMachozi", but Forever Komandoo, Wallet, Shangazi
The One and only Judith Wambura Mbibo (Habash) a.k.a LADY JAYDEE


No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive