Dear Judith,
Habari ya kazi my dia,
Habari ya kazi my dia,
Natumai hamjambo na mnaendelea kujenga Taifa. Ninaomba uniwekee picha niliyoambatanisha mimi ni mjasiliamali mdogo.
Nimeona kupitia blog yako naweza kupata wateja. Ni vikapu vizuri material ya kwetu.
Kwa mhitaji namba yangu ni 0713/0767 256 179.
Natanguliza shukrani.
Kwa mhitaji namba yangu ni 0713/0767 256 179.
Natanguliza shukrani.
Kissah.
No comments:
Post a Comment