Anza siku yako kwa nuru na usichukulie kama hii ni adhabu maadam unapenda kuwa na muonekano mzuri na kuuweka mwili wako katika afya kwa kula vyakula ambavyo havitakuharibia mwili wako
Day 8:
Asubuhi ukiamka fanya sit ups 150, Ruka kamba dakika 20
Kunywa maji moto glass 4
Kunywa maji moto glass 4
Breakfast: Maziwa glass 1, Ndizi mbivu 1, 1 Fried egg, 1 Toasted brown bread
Mchana unakunywa tena maji moto glass 4
Lunch: Vegetable fried rice ukubwa wa kikombe kimoja na Samaki wa kuchoma
Dinner: Bakuli kubwa la Matunda, na Salad
Unapata Jiggy then unaiita siku na kungojea siku inayofuata
Ukiwa unapika mboga za majani hakikisha haziivi sana mpaka kuondoa ule uhalisia wake.
Usipike mboga zaidi ya dakika 10 kwenye moto.
Usipike mboga zaidi ya dakika 10 kwenye moto.
Day 9:
Asubuhi ruka kamba dakika 20
Maji moto glass 4
Maji moto glass 4
Breakfast: 1Boiled egg, 1Boiled sausage na Matunda mengi tu
Mchana maji moto glass 4
Lunch: Kiazi 1 cha kuchemsha, Green Vegetables bakuli kubwa, Kuku 1/4 Kuchemsha na Glass 1 ya fresh juice ya aina yoyote
Jioni unakunywa tena maji moto glass 4
Dinner: Supu ya Samaki
Day 10:
Ukiamka unafanya sit ups 150
Maji moto glass 4 asubuhi
Maji moto glass 4 asubuhi
Breakfast: Maziwa glass 1 na matunda mengi sana
Mchana unakunywa tena maji moto glass 4
Lunch: Wali 1 Cup, Roast Firigisi au Kuku na Vegetables
Jioni maji moto glass 4
Dinner: Supu ya Veges na Jiggy Jiggy
Day 11:
Asubuhi maji moto glass 4, leo usifanye mazoezi
Breakfast: 1 Toasted bread upake siagi kwa mbali, na matunda kibaoooo
Mchana pia unakunywa maji moto glass 4
Lunch: Maini
Mlo huu uendane na wali kipimo cha kikombe kimoja au Ugali kidogo sana kama picha inavyoonyesha hapo juu.
Usisahau mboga za majani.
Usiku unakunywa maji moto glass 4
Dinner: Fruits & Vegetables kwa wingi
Day 12:
Ruka kama kwa dakika 20
Fanya sit ups 150
Kunywa maji moto glass 4
Fanya sit ups 150
Kunywa maji moto glass 4
Breakfast: Matunda bakuli kubwa, 2Boiled eggs, 1 Toasted brown bread
Mchana maji moto glass 4
Lunch: Samaki wa kukaushwa au Dagaa, Vegetables na Ndizi 3 za kuchemsha (Bukoba) na 1Glass of white wine kama ukipenda
Jioni ruka kamba kwa dakika 20
Kunywa maji moto glass 4
Kunywa maji moto glass 4
Dinner: Kuku choma, Salad, Ndizi choma 1 na glass ya juice fresh na Jiggy ndio linakuwa zoezi la mwisho la kufungia siku yako
Day 13:
Hakuna mazoezi pia siku hii
Breakfast: Maji moto glass 4 na Matunda, hata ukiamua kula ndoo nzima ya fruits ni juu yako
Lunch: Mishkaki 4 ya Samaki au Kuku, Nzizi 2 za kuchemsha (Bukoba) na Salad
Dinner: Supu ya Samaki au Kuku na Glass 2 za white wine kama ukipenda, usisahau Jiggy kabla hujalala
Day 14:
Itakuwa ni Jumapili unatakiwa upumzike sana tu, usifanye mazoezi yoyote
Asubuhi unakunywa maji moto glass 4
Asubuhi unakunywa maji moto glass 4
Breakfast: Cornflakes, 1 Fried egg, 1 Toasted brown bread, 1 Boiled Sausage na matunda kwa wingi sana
Mchana wa leo unaweza uka skip kunywa maji moto
Lunch: Vegetable Soup na glass ya juice yoyote fresh isio na sukari zaidi ya kijiko 1
Dinner: Coocked Vegetables, Rice na Samaki wa kuchoma
Usiku ni lazima unywe maji moto glass 4
No comments:
Post a Comment