
Endelea kupiga mwendo wa dakika 3o ukiamka tu, rudi zako home piga sit-ups 20-30
Kunywa maji ya moto/ uvugu vugu yaliokamuliwa ndimu/limao Glass 4
Achana na swala la kupiga mswaki kwanza
Piga Chai kikombe kimoja chenye kijiko kimoja tu cha sukari
Baada ya chai unaruhusiwa kupiga mswaki sasa
Ingia bafuni, oga
Kisha ondoka zako uende kazini.
Unaweza kuchukua tunda moja wakati unaondoka ukawa unakula njiani
Kiazi kimoja tu cha kuchemsha pamoja na mboga mboga kama Njegere, Karot n.k
weka chumvi tu ndugu yangu

Jitahidi supu zako usiweke mafuta
Usisahau Maji 4 glasses, za maji moto au vuguvugu

Vegetable Platter, mboga za aina yoyote unayopenda wewe bila kuweka futahata tone
Ukiona imeshindikana, basi angalau kijiko kimoja tu cha mafuta "Alizeti: au Olive Oil
Na Samaki wa kuchoma, wa kuchoma rafiki "Sio wa Kukaanga"
Kula mzima, unywe na maji moto/ uvuguvugu glass 4
Unaruhusiwa kulala ungojee siku ya 5
No comments:
Post a Comment