MAISHA UPANDE WA PILI WA SARAFU.

Tajiri wa maeneo hayo anajenga Guest House kwa mbele ambayo kuna self contained vyumba viwili ambavyo ata charge alfu 5,

vingine atafanya alfu 3. Lakini pia na hiyo Guest House ya buku 2 itaendelea kuwepo kama kawaida maana kwa sasa inajaa sana hadi kwa kulala wageni wanakosa,



Guest ya buku 2 ina jumla ya vyumba 10.
Hiki ni moja wapo ya chumba kilichopo kwenye Nyumba ya kulala wageni Guest House hiyo, chumba unalipa shilingi Alfu mbili tu 2,000/=



Watu wanakaa hapa kujipimzisha baada ya shughuli zao za kila siku





Na hii ni kawaida tu kwakuwa bado hawajafahamu au hawana uwezo wa kutumia vitu kama Blender kurahisisha kazi zao za mikono



Lakini kila wanachokula ni Natural hakipitii kiwandani wala kuongezwa kemikali za ziada



Unaweza kuamini haya ni maji ya kunywa?

Kuna binadamu wanakunywa maji ya aina hii, Yes!! ni hapa hapa Tanzania



Picha na: Ester Ulaya

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Blog Archive