Sio chumba wala kitanda changu, ila hapo ndio ninapojiegesha kwa sasa.
Kutoka kwenye chumba chekundu mpaka chumba Cheupe
Humu ndani, Ukuta, mashuka, mapazia, Toilet, Bafu vyote vyeupe
Elewa maana ya neno "NI" tofautisha na "TU"
Usije ukachanganya rafiki yangu
Baada ya muda inaweza kuwa "TU"
Nikikaa kimya mnalalamika, haya mambo hayo sasa
Picha zingine nyingi zaja

No comments:
Post a Comment