Asubuhi ni kukimbia, hapana kutembea tena
Ukirudi ni sit ups
Then maji moto glass 4
Breakfast ni Kikombe cha chai, au kahawa na slice 2 za mkate wa brown
Ukirudi ni sit ups
Then maji moto glass 4
Breakfast ni Kikombe cha chai, au kahawa na slice 2 za mkate wa brown

AU

Matunda kwa wingi, jitahidi potion ya chakula chako isiwe kubwa sana
Itakuwa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, ukiendekeza kufundia sana
Kila mtu ana mapishi yake
Katika kila mlo lazima kuambatane na maji moto/ vuguvugu glass 4
Jioni ukimaliza shughuli zako kimbia dk.45 ukirudi nyumbani kunywa maji moto/ vuguvugu glass 4

Baada ya hapo jilalie usitegemee makuu
Si ulikula mtori, au ndizi bukoba na nyama mchana sasa usiku jikaushe tu
No comments:
Post a Comment