Leo ndio siku ya mwisho kupiga picha za kutumia simu
Leo ndio ile siku nitapata mpiga picha ili na mimi niweze konekana sura
Baada ya leo ndio story rasmi inaanza

Matusi, kejeli wala comments za maudhi ya makusudi dhidi ya wengine hazita postiwa
Bora u save energy ku fight na Chama tawala warudishe mafuta na umeme
Mimi ni mtanzania mwenzenu tu ambae najaribu kuwapa burudani wala sigombani na mtu
Sio kosa la jinai ku post kile ninachopenda, wala sijavunja sheria ya nchi kwa kufanya hivyo
Wapo wanaopenda ninachofanya na ndio haswa nafanya kwaajili ya hao. Okay!!!???
Twende sasa

No comments:
Post a Comment