Urban Pulse Creative inakuletea matukio katika picha ya wawakilishi wetu kutoka Tanzania ndani ya Bunge la Vijana (YOUTH COMMONWEALTH PARLIAMENT) lililofanyika kuanzia tarehe 6-10 Septemba 2011. Tanzania Iliwakilishwa kutoka kwa Linda kapinga pamoja na Lucy Minde.

Motto wa Mkutano huu ulikuwa Mabadiliko ya Mazingira

Mbali na kupata fursa ya kukutana na wawakilishi wengine kutoka kwenye nchi mbalimbali za jumuiya ya Madola pia walikaribishwa kupata chakula cha pamoja kutoka katika nyumba wa spika wa House of Commons John Bercow

Kulia Linda Kapinga, mwakilishi wa Australia, Mwakilishi wa Nothern Ireland na Lucy Minde

Dr. Shija na wawakilishi wetu


Linda akiwa kazini

Linda Kapinga na Lucy Minde
Speaker wa House of Commons

Wawakilishi wetu wakifuatilia hoja bungeni

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive