MAELEZO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI UNAFANYA PROCESS YA KUPUNGUZA MWILI NA TUMBO

Salaam Wapendwa,

Kwa wale watakaofuatilia mwezi wa pili hizi ni tips chache za kukuandaa ili ujue nini cha kuepuka wakati tunaendelea na zoezi hili la kukata tumbo na kupunguza mwili, mafuta.

Mbali na kuwa unatakiwa upunguze potion ya chakula inaweza isisaidie endapo hicho chakula kitakuwa kimepikwa na vitu vinavyoongeza mafuta mwilini.
Sio chakula tu ndio kinaongeza mwili ila inategemea pia na kinavyopikwa.

Epuka vyakula vinavyopikwa na nazi, au mafuta ya wanyama
Ukiweza kuepuka nyama nyekundu "Redmeat" pia itasaidia sana
Angalau uwe unakula mara moja au 2 kwa mwezi, kama hutaweza kuacha kabisa

Vitu hatari kwa ku control mwili wako ni pamoja na:
BUTTER, CHOCOLATE, CURRIES, MILKSHAKE, CHEESE, POP CORN, MACARONI, BISCUITS, NYAMA ZA VIWANDANI (Za kwenye makopo) na PINACOLADA.
Zina raise Cholesterol kwa kiwango kikubwa sana.

Kuepuka vyakula vya aina hiyo, pamoja na kuzingatia mazoezi italeta matokeo mazuri sana kwa mwili wako, kama una partner unashauriwa kufanya Sex mara 3-4 au zaidi kwa wiki
Kwani Jiggy pia ni sehemu ya mazoezi.
Sex is good for your heart, ni kama Cardio Exercise.

Inasaidia moyo ku pump faster, faster na kuufanya moyo wako ukae kwenye shape yake inayotakiwa... Ni kama mazoezi mengine pia inasaidia ku loose weight. Ukiifanya ipasavyo
Inapunguza stress na maumivu wakati mwingine.
Na inasaidia kulala vizuri na ku relax mind yako

Katika hili la mwezi wa pili hiyo nayo imo kwenye mazoezi, kwa wale walio na partners
Kwa ambao hawana tutafanya mazoezi mengine.
Nita post hiyo diet Jumapili ya tar 25 Septembre, ili muamke nayo Jumatatu tuanze.

Kila kheri

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive