RATIBA YA CHOZI KILA WEEK END

Haijabadilika ni kila Ijumaa na Jumapili Nyumbani Lounge

Wiki ambayo ilikuwa ni Eid kulifanyika show mara 3
Kwakuwa Eid iliangukia katikati ya wiki kabla ya Ijumaa na Jumapili

Wiki ya msiba wa kuzama kwa meli ilifanyika show moja tu Ijumaa, Jumapili ilisitishwa kwa ajili ya maombolezo.....Wiki zingine zooote ni kama kawaida
Ikitokea show ya ziada mtafahamishwa, katika mtihani hakunaga kutafuniwa kisha ukameza

Kwa wanaohesabu showz nadhani mtakuwa mmenielewa

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive