Diet "DAY 22"


Asubuhi unaruka kamba dakika 20, Sit ups 100 tu.

Sio lazma ukimbie. Maji moto glass 4

BREAKFAST:
1 Apple
1 Cup of Coffee or Tea
3 Toasted Bread
1 Boiled sausage
1 Fried egg
1 Glass of Carot Juice

Mchana unakunywa maji moto glass 4

LUNCH:
Samaki wa kuchoma na ndizi 1 ya kuchoma, pia vegetable kwa wingi

Jioni unaruka kamba dakika 20, Sit ups 100
Maji moto glass 4

DINNER:
Kuku wa mchuzi 1/4, Wali, na Njegere

No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive