STATUS ZILIZONIGUSA KWA LEO

Elewa si kila anaecheka na wewe kafurahi nawe. Utu wao upo ktk macho tu,nafsi zao zimebeba husda,uadui,uchawi,uongo,usaliti,fitna na unafiki. Furaha zao kukuona UNAHARIBIKIWA. Na hasira zao kukuona UMEFANIKIWA! Wangapi uliwaamini,kuwaheshimu,kuwasaidia,kuwapenda kuwaona ndugu,kuwashauri na hata kuwapa siri zako?Leo ndio maadui zako,kweli maisha ni watu lkn kuwa muangalifu nao.Hii ni sadaka nawatoleeni mpokee na muwape muwapendao.
Rîccö Flavian

Facebook – Where people go from SINGLE to IN ARELATIONSHIP to MARRIED to IT’S COMPLICATED
then back to SINGLE in one day.Young Dee

NASEMA NANII???????? AJE ASEME KUHUSU '''MAISHA YANGU!!??'''


NAJUA HUNIJUI ZAIDI YA '''PICHA ZANGU'''

SIKUHZI NAPATA MAADUI KISA '''JINA LANGU'''


IKO WAZI HAWAJUI !!!!!!!!

NIPE '''SIFA ZANGU!!!usiku mwema facebook!Kila siku iendayo kwa Mungu kila binadamu aliye hai ujifunza jambo jipya. Haijalishi una umri gani, ungali u'hai sote tuna'nafasi kubwa ya kujifunza kuwa vile tunavyotaka kuwa. Kama kuwa msafi, kukithamini chako hata kama ni kidogo, kugundua makosa yetu na kuwa tayari kujirekebisha, kuacha wivu kwa kukubali matokeo na kushiriki katika furaha ya huyo mtu anayekusababishia wivu. Ukijiwekea malengo kuishinda nafsi inayokuelemea, vyote vinawezekana KWA KUJIFUNZA!
Jestina George

"Often the greatest blessings come dressed in problems. God's answers don't look my prayers. Success doesn't always feel successful! You face your greatest opposition when you are closest to your biggest miracle."
No comments:

Post a Comment

Popular Posts

Popular Posts

Followers

Search This Blog

Loading...

Blog Archive